“Mwajiri yoyote ambaye hatotekeleza agizo la serikali la kuongeza kima cha chini cha mshahara, wafanyakazi wanaweza wakamshtaki katika mamlaka husika na jambo hili litatekelezwa hata kwa wale wasio na mkataba…,” – Msikilize Mjumbe wa bodi ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi, John Vahaye akielezea hoja hii kiundani.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates