#NBCPL Mbeya Derby (Mbeya City vs Tanzania Prisons) inapigwa ndani ya Dar es Salaam, kwenye Dimba la KMC Complex…!!!
Je, unajua itakuwaje???
Wasike makocha wa timu zote mbili wakizungumzia maandalizi ya mchezo huo, ambapo ambapo kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini ameeleza ugumu wa mchezo huo huku kocha wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno akisema wamejipanga vizuri kupata alama tatu muhimu.
#MbeyaDerby #NBCPremierLeague