#NBCPL Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amenunua tiketi 300 kwa ajili ya mashabiki kwenda kushuhudia mtanange wa TRA United dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Oktoba 22 kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora…
Huyu hapa afisa habari wa timu hiyo Christina Mwagala akifafanua kuhusu hilo na kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo…..
Mwagala pia amesema watautumia mchezo huo kama maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba SC…
#TRAUnited #Mwagala