TWIGA STARS MAWINDONI: Timu ya taifa ya soka ya wanawake, (Twiga Stars) ipo kambini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili kufuzu kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON 2026) dhidi ya Ethiopia.
Mechi hiyo itapigwa Jumatano wiki hii kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi kuanzia saa 11:00 jioni na kukufikia mbashara #AzamSports4HD
Afisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Ndimbo, anaeleza maandalizi ya kikosi hicho na taarifa kuhusu ujuio wa kikosi cha Ethiopia.
#TwigaStars #WAFCON2026Q