UONGOZI WA MBEYA CITY: Afisa Mtendaji Mkuu wa Mbeya City Ally Nnunduma amesema timu yao inakubaliana na matokeo yote yanayopatina katika michezo yao wanayoicheza ya NBC Premier League msimu huu kwani anamini mpira wa miguu una matokeo matatu kushinda, kushindwa na sare.
Na kwa upande wake Naibu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mbeya City, Joseph Mlundi ameongeza kuwa kwa sasa timu yao ina mwenendo mzuri na anaamini itaendeleza mwenendo huo licha ya ushindani uliopo kwenye ligi.
Imeandikwa na @davidkyamani
#Viwanjani #Mbeya City #AzamTv