Viongozi Kamati ya Amani wa  Dini Mbalimbali Mkoa wa Mwanza Kwa Kauli Moja wameihakikishia serikali Kuhamasisha Waumini wao na W…Viongozi Kamati ya Amani wa Dini Mbalimbali Mkoa wa Mwanza Kwa Kauli Moja wameihakikishia serikali Kuhamasisha Waumini wao na W…

Viongozi Kamati ya Amani wa Dini Mbalimbali Mkoa wa Mwanza Kwa Kauli Moja wameihakikishia serikali Kuhamasisha Waumini wao na Watanzania Kiujumla Kushiriki Zoezi la Uchaguzi linalofanyika kila baada ya Miaka Mitano.

Kongamano hilo lililoandaliwa na Waziri Mstaafu wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amewaomba Viongozi hao wa Dini wenye dhamana na Waumini wao watumie nafasi zao Kuhubiri Amani na kuwasisitiza kushiriki Uchaguzi ambao ni Takwa ka Kikatiba.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda ni Miongoni mwa Viongozi walihudhuria Kongamano hilo ,akisisitiza Mkoa wa Mwanza Upo salama na Umejipanga kuhakikisha Wanavuka salama katika Uchaguzi kwa Amani na Utulivu.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *