VIWANJANI: Mtangazaji wa kabumbu na mchambuzi wa soka @hinjojr anasema Yanga wamesajili wachezaji wazuri kutokana na wasifu wao,...

VIWANJANI: Mtangazaji wa kabumbu na mchambuzi wa soka @hinjojr anasema Yanga wamesajili wachezaji wazuri kutokana na wasifu wao, lakini wanakosa muunganiko kutoka katikati kwenda mbele.

Hinjo anasema wameondoka wachezaji wawili ambao walikuwa wanachangia kwa kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo.

Hinjo amewataja Khalid Aucho na Stephane Aziz Ki ambao kwa maoni yake walikuwa na ubora wa kipekee

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *