Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani nchini wamesalia na siku chache kukamilisha muda wa kuwashawishi kwa hoja wapiga kura kuelekea Uchaguzi mkuu, Oktoba 29.
Je, wananchi ambao ndio wapiga kura mpaka sasa wanaonaje mwelekeo wa sera, ilani na ahadi zinazotolewa
Sheila Mkumba amezungumza na wapiga kura hao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi