21 Oktoba 2025

Trump atishia kuiangamiza Hamas ikiwa itakiuka mpango wa amani huko Gaza. Zelensky amesema analenga kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot. Shirika la Amnesty limesema ukandamizaji umeshamiri Tanzania kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29.

https://p.dw.com/p/52JXP

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *