21 Oktoba 2025

Si picha unazoweza kuziona kila wakati. Kwamba mtu aliyepata kuwa rais wa nchi anaondoka uraia na kwenda gerezani. Lakini hilo limetoka leo Jumanne nchini Ufaransa. Nicolas Sarkozy, rais wa zamani wa nchi hiyo sasa yuko ndani ya kuta nne za gereza.

https://p.dw.com/p/52Kth

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *