DABI YA MBEYA | Mtazamo wa mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono akichambua kwa kina kuelekea mchezo wa leo wa dabi ya Mbeya ya #NBCPremierLeague kati ta Mbeya City dhidi ya Tanzania Prisons kwenye dimba la KMC Complex, Dar es Salaam ambapo Mbeya City atakuwa mwenyeji wa mchezo huo.
Mchezo wenyewe utakuwa kuanzia saa 10:00 jioni, LIVE #AzamSports1HD
Imeandakiwa na @jairomtitu3
#NBCPremierLeague #Azamtvsports #MbeyaDerby #MbeyaCity #TanzaniaPrisons #MbeyaCityTanzaniaPrisons