DODOMA JIJI VS MTIBWA SUGAR | Kocha wa Mtibwa Sugar, Awadhi Juma amesema wamejiandaa vizuri kuelekea katika mchezo wao wa #NBCPremierLeague dhidi ya Dodoma Jiji kwenye dimba la Jamhuri Dodoma.
Kwa upande wake mchezaji wa timu hiyo, George Chota naye amezungumza kuelekea mchezo huo, huku akisema wao wamejiandaa kuhakikisha wanakwenda kuchukuwa alama tatu muhimu wakiwa ugenini.
Mchezo wenyewe utachezwa kuanzia Saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
Imeandaliwa @jairomtitu3
#AzamSports #DodomaJiji #MtibwaSugar #DodomaJijiMtibwaSugar