#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora Kikosi cha Usalama Barabarani limetoa saa ishirini na nne pekee kwa madereva wa vyombo vyote vya moto mkoani hapo kuhakikisha vyombo vyao vinakaguliwa ubora na kupata stika za kielektroniki za usalama barabarani kabla operesheni ya kuwasaka na kuwakamata haijaanza ikiwa ni mkakati wa nchi wa kupunguza ajali zinazoweza kuzuilika.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *