#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama cha TLP, Bw. Rwamugira Yustas, ameahidi kutoa huduma ya Elimu bure kuanzia ngazi ya chekechea hadi chuo kikuu, kwa kutumia rasilimali za asili zilizopo nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.