#HABARI: Ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mambo mengine, simulizi nzuri na zenye hisia chanya kwa jamii ya mkoa huo ni pamoja na namna alivyoweza kushughulika vyema na changamoto ya maji.
Amehakikisha upatikanaji wa maji safi, salama na ya uhakika kwa kila mtu na zaidi yapatikane karibu zaidi na kila mmoja ili kuondoa adha ya kusafiri umbali mrefu kuitafuta huduma hiyo muhimu.
Alipoingia madarakani Dkt. Samia ambaye leo Oktoba 21, 2025 anaingia mkoani Dar es Salaam kuanza kampeni zake za Uchaguzi Mkuu, akianzia na Wilayani Kinondoni, upatikanaji wa maji ulikuwa asilimia 80 pekee na miaka minne baadaye hii leo upatikanaji wa maji umekuwa kwa asilimia 93 suala liloimarisha muda wa upatikanaji wa maji kutoka wastani wa saa 15 hadi saa 21 kwa siku.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.