#HABARI: Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti.

Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa kwa makosa mawili ikiwemo kubaka kwa kundi na kulawiti kwa kundi ambapo leo hii Jaji wa Mahakama Kuu Amir Mruma alisema Mahakama imefunga mikono lazima iwahukumu kifungo cha maisha kwani Mahakama ndio muamuzi wa mwisho katika kuangalia haki za watu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *