#HABARI: Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, leo anaanza rasmi kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kuhukumiwa kwa uhalifu wa kula njama ya kufadhili uchaguzi wa mwaka 2007 kinyume na sheria, kwa kutumia fedha zilizotoka kwa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muamar Gaddafi.
Sarkozy mwenye umri wa miaka 70 atafungwa katika jela la La Sante mjini Paris.
Amekuwa akikanusha mara kwa mara kuhusika na uhalifu wowote unaofungamana na uchaguzi huo wa mwaka 2007.
CC:BBC Swahili
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.