#HABARI: Wadau wa maendeleo ya vijana wameyashauri makundi ya vijana wajasiriamali wadogo, wanaojishughulisha na biashara mbalimbali, kuweka nidhamu kwenye matumizi ya mitaji wanayopatiwa, ili waweze kukuza biashara zao na kumudu ushindani wa kibiashara.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya ANZA Bw. Julius Elias jijini Arusha, walipowakutanisha vijana wajasiriamali, kuwapatia mafunzo ya kibiashara juu ya upatikanaji wa bidhaa na masoko.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *