#MbeyaDerby “…wenzetu walipumzika sana……walitusoma vizuri”
Neno kutoka kwa Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini akikubali matokeo na kueleza jinsi ambavyo wapinzani wao waliwasoma vizuri….
Malale pia anasema kilichowaangusha ni uchovu uliosababishwa na kucheza mechi nyingi mfululizo….
Anaanza kuzungumza kocha wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno ambaye anaeleza furaha yake baada ya ushindi wa leo akisema sasa wachezaji wametimia, kwahiyo wataendeleza moto….
FT: Mbeya City 1-2 Tanzania Prisons
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MbeyaCityFC #TanzaniaPrisons #MbeyaCityPrisons