Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ ameichambia Simba SC Simba ambapo wamerejea nchini wakitokea Eswatini baada ya kuichapa Nsingizini Hotspurs 0-3 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua moja kabla ya kumaliza mchezo wa mwisho utakaoamua hatua yao kutinga hatua ya makundi.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#AzamSports #SimbaSC #SSC