Mgombea ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bariadi vijijini mkoani Simiyu ,Bwana Masanja Kadogosa aomba wakazi wa kata ya Sapiwi wampigie kura ili aweze Kupanua chuo cha IFM kwa lengo la kuongeza wigo wa kibiashara kwa wakazi wa kata ya Sapiwi na maeneo ya jirani nakuweza kukua kiuchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *