Mgombea Urais wa chama cha ADA TADEA, Georges Busungu ameahidi kutenga mji maalumu wa teknolojia kwa ajili ya wabunifu ambao watapewa nafasi ya kufanyia kazi ubunifu wao na kuwezesha taifa kuwa na vitu vingi vilivyobuniwa na kutengenezwa nchini.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi