Mgombea Urais wa NRA, Almas Hassan Kisabya amesema chama chake kimeweka kipaumbele katika maeneo matatu ya msingi ya afya, elimu na maslahi kwa watumishi wa umma.
Mawazo Mwaijengo amehudhuria mkutano wa kampeni wa Kisabya.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi