MSHIKEMSHIKE: Yanga SC imeruhusu mashabiki kuingia bure katika mchezo dhidi ya Silver Strikers kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Nini maoni yako?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike