
RSF yashambulia Uwanja wa ndege wa Khartoum wakati kukifanyika maandalizi ya ufunguzi
Shambulizi hilo linakuja siku moja kabla ya kufunguliwa tena kwa uwanja huo wa Sudan kwa ajili ya safari za ndege za nyumbani baada ya kufungwa kwa zaidi ya miaka miwili.