Salum Mwalimu anayewania Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amesema jiji la Dodoma linahitajika kuwa na ubora wa miundombinu na huduma za hadhi ya juu ili kuendana na hadhi ya mji mkuu wa nchi.

Mwalimu ameongeza kuwa akifknikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu atahakikisha hayo yanafanyika ili Dodoma ice na hadhi kubwa.

Emmanuel Kalemba anatoa ripoti zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *