“Tunarejea kwa kishindo uwanjani… adhabu yetu yakufungiwa mashabiki imemalizika…” – Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akielezea kuhusu kumalizika kwa adhabu yao ya kufungiwa mashabiki kuingia uwanjani.
Simba wamerejea nchini wakitokea Eswatini baada ya kuichapa Nsingizini Hotspurs 0-3 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua moja kabla ya kumaliza mchezo wa mwisho utakaoamua hatma yao kutinga hatua ya makundi.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#AzamSports #SimbaSC #SSC