TWIGA STARS VS ETHIOPIA | Msikie Kocha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars, Bakari Shime akizungumzia maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Ethiopia.
Mchezo utapigwa kesho Saa 11:00 jioni kwenye dimba la Azam Complex, LIVE #AzamSports4HD
Imeandaliwa @jairomtitu3
#AzamSports #Twigastars #Ethiopia #TwigastarsEthiopia