VIWANJANI | Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ amechambua kikosi cha Yanga ambacho kipo chini ya kocha msaidizi, Patrick Mabedi katika maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
#AzamSports #YangaSC