Wakulima wa mwani visiwani Zanzibar wameahidiwa kupata soko la uhakika na thamani ya zao hilo itakayofikia Shilingi 5,000 kwa kilo iwapo Chama Cha MAKINI kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu.

Ahadi hiyo imetolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Ameir Hassan Ameir kama inavyoripoti taarifa hii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *