Wanawake wajawazito nchini huenda wakapata nafasi ya kupata elimu kuhusu afya ya uzazi na ushauri unaohusiana na malezi kwa wepesi zaidi baada ya mtaalamu wa Akili Unde, Elias Patrick kuunda jukwaa la kidijitali linalowaruhusu wanawake hao sambamba na yeyote anayetamani kuwa na taarifa na maarifa kuhusu uzazi kuwasiliana na akili unde na kupata majibu.
Tazama taarifa ifuatayo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi