AHMED KUHUSU MALENGO YA MSIMU HUU: “Target ni kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema wameshaingia mara nyingi robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa wanaitaka hatua ya nusu fainali.
Ahmed anasema klabu ya Simba ni timu ya ‘mabwanyenye’
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani