AHMED KUHUSU MOUSSA CAMARA: “Moussa Camara aliumia kwenye mchezo dhidi ya Gaborone United”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amezungumzia hali ya golikipa wao Moussa Camara ambaye aliumia katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na leo hii daktari wa timu hiyo anamfanyia vipimo ili kujua kama mchezaji huyo atahitajika kufanyiwa operesheni ama matibabu ya kawaida tu.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani