Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza nchi kupitia uchaguzi wa Oktoba 29 kitamaliza changamoto ya foleni za barabarani katika mji wa Tunduma pamoja na kuondoa vikwazo kwa wafanyabiashara wa mpakani.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi