EL CLASICO : “….inatajwa kuwa ndiyo mechi inayotazamwa na mashabiki wengi zaidi duniani”
Ndani ya studio za Azam TV, Tabata Dar es Salaam, umewasili mpira utakaotumika kwenye mechi ya El Clasico, Real Madrid vs FC Barcelona itakayopigwa Jumapili wiki hii…..
Kuna taarifa kuhusu Real Madrid kumkosa David Alaba licha ya kurejea kwa Trent Alexandre Anold na Dani Carvajal….
Wachambuzi Ayoub Hinjo na Philip Nkini wanatoa mtazamo wao kuelekea mchezo huo wakionesha ni upande gani utakuwa taabuni zaidi siku hiyo…
Hii utapata LIVE #AzamSports4HD saa 12:15 jioni
#ElClasico #RealMadrid #FCBarcelona #RealMadridBarca #Viwanjani