#HABARI: Aliyekuwa Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga, amemtupia lawama Rais William Ruto akidai kuwa ametumia fursa ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na maandalizi ya maziko yake, ili kuidhinisha sheria zenye utata, ikiwa ni pamoja na muswada wa marekebisho ya matumizi mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandao wa 2024, na muswada wa Ubinafsishaji wa mashirika ya umma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania