#HABARI: Katibu Mkuu wa Chadema Bwana John Mnyika ameongelea kuhusu kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bwana Jonh Heche akiwa anaingia Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *