#HABARI: Mgombea Urais kupitia Chama cha Makini Ndg. Coster Jimmy Kibonde, ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma wakiwemo walimu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania