#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Afrika, Bw. Sunil Taldar, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano, matumizi ya Akili Bandia (AI) na vituo vya data katika kuharakisha maendeleo ya Kidijitali Barani Afrika, unavyosaidia kuimarisha uchumi wa Kidijitali wa ndani na kuunga mkono uvumbuzi.

Bw. Sunil amebainisha hayo kwenye Mkutano wa MWC25 uliofanyika Kigali chini Rwanda na kwamba dhamira ya Airtel Afrika ni kuwekeza katika teknolojia na ubunifu utakaowezesha jamii kuchochea mabadiliko ya Kidijitali Barani Afrika.

Amesema kuwa ushirikiano ni muhimu ili kukabiliana na changamoto katika kuhakikisha kwamba maendeleo ya Kidijitali ya Afrika yananufaisha jamii zote.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *