#HABARI: “Si muda mrefu uliopita tulikuwa na kilio cha umeme kukatika katika, umeme kuletwa kwa zamu umeme kutokutosheleza sasa hivi Dar es Salaam, umeme ni 24/7 na ukizimwa kuna matangazo kwa nini umeme umezimwa,”-Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *