#HABARI:Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Rorya katika Mkoa wa Mara Jafari Chege, amewaomba wananchi wa kijiji cha Ng’ope kata ya Roche, kuhakisha hawaruhusu kata hiyo kuchukuliwa na wapinzani kwani hiyo ni kata ya mkakati.
Chege amesema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa Kijiji, ikiwa ni mara ya pili kurudi katika kata hiyo, mara hii ikiwa ni lala salama ya kampeni kabla ya Oktoba 29 siku ya Uchaguzi Mkuu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania