Je, unajua unapotumia simu yako kwa masaa matatu mfululizo kunaweza hatarisha afya ya macho yako? Je, wewe unatumia simu yako kwa masaa mangapi?
Msikilize Mtaalamu wa Macho kutoka CCBRT, Henry Ngogo akielezea kiasi cha muda unaopaswa kutumia simu yako.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates