KAMWE AWAJIBU WANAOBEZA MEDIA TOUR: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema yeye kawaida yake ni kupania ja...

KAMWE AWAJIBU WANAOBEZA MEDIA TOUR: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema yeye kawaida yake ni kupania jambo na hata kama mechi yao wametangaza kuwa bure, lakini yeye ataendelea kuitangaza kwa kutembea kwenye vyombo vya habari (media tour).

Kamwe anasema kama kuna watu wanaumia kwa yeye kupita kwenye vyombo vya habari, basi yeye atazidisha zaidi kufanya hivyo na anasema kama wakivuka wanaweza kunywa hata supu.

Yanga itashuka dimbani Jumamosi saa 11:00 jioni kucheza dhidi ya Silver Strikers na mechi hiyo itakuwa LIVE #AzamSports1HD

#Yanga #Kamwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *