KLABU BORA YA MWAKA AFRIKA: “Sisi na Mamelodi tunalingana”

KLABU BORA YA MWAKA AFRIKA: “Sisi na Mamelodi tunalingana”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kwa kile walichokifanya msimu uliopita kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), wanaowazidi ni Pyramids na RS Berkane pekee.

Lakini wao na Mamelodi Sundons ya Afrika Kusini, wanalingana na CAF ndio wataamua nani akae nafasi ya tatu.

Simba SC imeingia kwenye 10 Bora katika kinyang’anyiro cha kusaka Klabu Bora ya Mwaka Afrika kwa upande wa wanaume.

#SimbaSC #AhmedAlly

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *