#KufuzuWAFCON2026 ‘Mguu wa Kwanza’ ni ushindi kwa Tanzania….. Sasa kinachohitajika ni sare ugenini ili kufuzu fainali za WAFCON 2026
FT: Tanzania 2-0 Ethiopia
NBC Premier League inaendelea LIVE #AzamSports1HD
#WAFCONQualifiers #KufuzuWAFCON #WAFCONQ #TwigaStars #Ethiopia #TanzaniaEthiopia