Mgombea Urais wa chama cha NRA, Almas Kisabya ameahidi kufuta tozo zote za mazao kwa wakulima pamoja na kuboresha mifumo ya stakabadhi ghalani.
Kisabya ametoa ahadi hiyo katika kampeni zake mkoani Mtwara.
John Kasembe anatuarifu zaidi kutoka huko.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi