Mgombea urais wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira ameahidi kuimarisha utawala bora na kuongeza ajira kwa vijana iwapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.

Enos Masanja na taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *