Mshauri wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji, Janeth Soka ameelezea dalili nne za mtu kufahamu kama ni mtumwa kiuchumi.
Ametaja dalili au hali hizo ni pamoja na mtu kufanya kazi kwa muda mrefu bila maendeleo yoyote, kutofurahia hali hiyo na haujui jinsi ya kujikwamua, mikopo mingi pamoja na kipato kutokukidhi mahitaji muhimu.
Hata hivyo, ametoa suluhisho, msikilize zaidi.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates