Mtaalam wa Macho kutoka CCBRT, Henry Ngogo amewashauri watu kuacha kutumia simu gizani, kwani miale inayotoka kwenye simu husababisha athari katika macho unapotumia kwenye giza au mwanga hafifu na kuongeza kuwa, athari mojawapo anayoweza kupata mtu ni kushindwa kulala vizuri.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *