#NBCPL Haya hapa magoli yote mawili… wakitangulia Fountain Gate FC kupitia kwa Issa Juma Abushiri, na Wagosi kuchomoa kipindi cha pili kupitia kwa Athuman Makambo baada ya penati kuokolewa…..!!!
FT: Coastal Union 1-1 Fountain Gate FC
Sasa ni zamu ya Dodoma Jiji vs Mtibwa Sugar LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #CoastalUnion #FountainGateFC #CoastalFountainGate